Ajali ya ndege yaua wawili Ndege ya mizigo imeteleza kutoka kwenye njia ya kurukia ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hong Kong na kutumbukia baharini na kuua watu wawili, vyombo vya habari vya ndani vimeripoti. Read more about Ajali ya ndege yaua wawili