Mgogoro wa majirani kuhusu shimo watatuliwa
Jopo la wanasheria wa serikali kutoka Wizara ya Katiba na Sheria wakiongozwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Haki za Binadamu Beatrice Mpembo, wamefanikiwa kutatua changamoto ya ardhi iliyokuwa ikiwakabili wananchi wa kata ya Nyamagana mkoani Mwanza.