Bob Junior afichua chanzo cha kugombana na Diamond
Picha ya Bob Junior na Diamond Platnumz
Sharobaro President na mr chocolate flavour Bob Junior anafunguka kilichotokea kati yake na Diamond Platnumz ambacho anadai kilisabishwa na utoto wakati wanaanza pamoja muziki.