Daniel Dubois augua ghafla pambano laahirishwa

Daniel Dubois - Bondia wa Nchini Uingereza

Pambano la bingwa wa dunia Daniel Dubois dhidi ya Joseph Parker siku ya Jumamosi halitakuwepo baada ya bingwa huyo kuugua siku mbili kabla ya pambano hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS