Rwanda yalaani vikali vikwazo vya Marekani
Serikali ya Rwanda imelaani vikwazo vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Waziri wa Rwanda anayehusika na Muungano wa Kikanda Jenerali Mstaafu James Kabarebe, ikimtuhumu kuhusika katika vita kati ya kundi la M23 na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Cong