Fisi auawa Simiyu akutwa na jina na shanga
Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa kushirikiana na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) pamoja na jeshi la polisi wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, wamemuua fisi ambaye alikuwa amechorwa jina la mtu.