Askari waliofanya vizuri wapongezwa Arusha
Wakaguzi na Askari wa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha na Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo nchini waliofanya vizuri zaidi kazini mwaka 2024 wamehimizwa kuwa mabalozi wazuri lakini pia kuwa chachu ya mabadiliko katika utendaji wa kazi kwa askari wengine.