Rais Samia apunguza vifo vya wajawazito Tanzania
Tanzania inazidi kuwa mfano wa kuigwa barani Afrika kutokana na jitihada zake za kupunguza vifo vya wajawazito. Rais Samia Suluhu Hassan, ameweka kipaumbele katika kuboresha sekta ya afya, hatua ambayo imesababisha kupungua kwa vifo vya wajawazito kwa kiasi kikubwa.