Isak anastahili mshahara huu ndani ya Liverpool?
Ikiwa tetesi za uhamisho wa mshambuliaji wa Newcastle United, Alexander Isak, kuelekea Liverpool zitathibitika, basi staa huyo kutoka Sweden ataingia moja kwa moja kwenye orodha ya wachezaji wanaolipwa vizuri zaidi katika kikosi cha The Reds.