Dkt Slaa afutiwa kesi na kuachiwa huru

Dkt Wilbroad Slaa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Dkt. Wilbroad Slaa, baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS