Tuchel kumrejesha Ben White kikosini England Ben White Kocha mkuu wa England Thomas Tuchel amefanya mazungumzo na beki wa Arsenal Ben White kabla ya kutaja kikosi chake cha kwanza mwezi ujao. Read more about Tuchel kumrejesha Ben White kikosini England