Kada ataka majibu uhalali wa Lema na Mnyika CDM
Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome, amemuomba Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika, kujibu barua yake ya malalamiko ya kupinga uteuzi wa viongozi nane wa CHADEMA walioteuliwa na Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu Januari 22, 2025.