Instagram kuifanya Reels kama App inayojitegemea
Baada ya sakata la TikTok nchini Marekani kupamba moto moja kati ya kitu ambacho kilikuwa kinazungumzwa sana ni 'Meta' kuja na suluhisho kwa kutengeneza Application ambayo itakuwa na mfanano kama TikTok kimatumizi.