Barca kumuuza Raphinha baada ya Kombe la Dunia

Raphinha - Mshambuliaji wa Klabu ya Barcelona

Barcelona wanatazamia kumuongezea mkataba Raphinha ukiwa na kipengele cha kumuuza baada ya Kombe la Dunia la 2026 kwa mujibu wa ripoti kutoka nchini Uhispania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS