Kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake, hakuna mfano bora wa mwanamke shupavu, mwenye maono na anayevunja vikwazo kuliko Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Read more about Kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani