Vita ya Urusi na Ukraine bado ngoma ngumu Waziri wa Ulinzi wa Uingereza Luke Pollard amesema kuwa hakuna makubaliano yaliyofikiwa kati ya Ufaransa na Uingereza kuhusu pendekezo la usitishaji mapigano Ukraine Read more about Vita ya Urusi na Ukraine bado ngoma ngumu