Moja ya sababu kubwa ni kwamba YouTube inatoa kila kitu sehemu moja, kuanzia muziki, habari, podcast, vipindi, michezo, elimu hadi maudhui ya wabunifu nah ii ni tofauti na Netflix ambayo hutegemea zaidi movie na series, YouTube huwapa watazamaji maudhui mapya kila dakika.
(Chanzo: IMDb kupitia Digitall)





