Saturday , 11th Nov , 2023

Moja kati ya Trending Fashion za wasanii kwa sasa ni kuvaa mabwanga 'Oversize' flani hivi kwenye mitupio yao, mitoko, wakiwa kwenye shows, Special Appearance, Location wana-shoot na matukio mengine ya burudani.

Picha ya Jux akiwa amevaa Mabwanga

Kwa mfano Bwanga hilo alilovaa African Boy Juma Jux ambalo anasema analigawa kwa sababu anayo mawili.

"Ndugu zangu nani anataka hii jeans ninazo mbili?" - Juma Jux

Unaweza kuvaa bwanga hilo la Jeans kwenye mitoko yako?