Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Ole Shangai
Jeshi la Polisi limesema kuwa upelelezi wa tukio hilo umekamilika na jalada limepelekwa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka kwa hatua zaidi za kisheria
Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Justine Masejo, ametoa taarifa za kuwashikilia watu kadhaa akiwemo Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Ole Shangai, kufuatia shambulio la kujeruhiwa kwa waandishi wa habari lililotekea Agosti 15 mwaka huu katika kijiji cha Enduleni wilayani humo.
Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Ole Shangai
Jeshi la Polisi limesema kuwa upelelezi wa tukio hilo umekamilika na jalada limepelekwa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka kwa hatua zaidi za kisheria