Wednesday , 10th May , 2023

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amepatikana na hatia ya kumnyanyasa kingono mwandishi wa jarida moja kuu la New York Elizabeth Jean Carrollmiaka ya 1990

Hata hivyo Trump hajapatikana na hatia ya kumbaka E Jean Carroll katika chumba cha kubadilishia nguo kama ilivyoelezwa hapo awali

Ni mara ya kwanza kwa Trump kupatikana na hatia ya kuhusika na unyanyasaji wa kingono.

Aidha Trump amepatikana na hatia ya kuamribia jina kwa kuyaita madai ya mwandishi huyo "Uvumi na uwongo".
Mahakama ya Manhattan imeamuru Bw Trump amlipe takriban dola milioni milioni tano kama fidia.
Wakili wa Bw Trump amesema Ris huyo wa zamani anapanga kukata rufaa dhidi ya uamuzi huo.