Naibu waziri amesema hayo mara baada ya kutembelea uwanja huo na kujionea namna ujenzi unavyoendelea ambapo amesema licha ya kuongezeka kwa gaharama hizo lakini mkandarasi bado yupo ndani ya muda uliopangwa
Pia naibu waziri amesema kutokana na kiwanja hicho kuwa moja yakiwanja cha kimkakati kwa maneneo ya nyanda za juu kusini,benki ya dunia imekubali kujenga jengo la abiria
Kwa upande wake meneja wa wakala wa barabara mkoa wa iringa mhandisi DANIEL KINDOLE amesema uwanja huo utafanya kazi masaa ishirini na nne pindi utakapokamilika ili kuwezesha shuguli za kiuchumi kwa wananchi wa mikoa ya iringa na njombe