Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Vyuo vyatakiwa kubadili mitaala kuendana na wakati

Friday , 23rd Sep , 2022

Wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imevitaka vyuo vinavyofundisha masomo ya TEHAMA kufanya mabadiliko ya mitaala yao, ili kuzalisha vijana watakaokuwa na ushindani kwenye soko la ajira, ndani na nje ya nchi.

Mhandisi Kundo Mathew, Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Kundo Mathew katika maadhimisho ya Miaka kumi Ndaki ya Tehama ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam  ( CoICT), huku akikiagiza chuo cha Dar es Salaam kuongeza kozi zinazoendana na wakati wa sasa.

Kwa upande wake Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Prof. William Anangisye
amewataka wahadhiri wenye sifa kujitahidi kufanya tafiti ili kuongeza idadi ya maprofesa nchini, huku akisisitiza wasomi wa TEHEMA kutumia maarifa yao kutatua changamoto zilizopo kwenye jamii.

Naye RASI (Principal) wa CoICT Prof. Joel Mtebe amebainisha kuwa miongoni mwa changamoto zinazowakabili ni mtandao (internet) ya uhakika chuoni hapo, jambo linalowakwamisha wanafunzi katika masomo yao.

HABARI ZAIDI

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja

Edgar Lungu, Rais wa Zamani Nchini Zambia Akitembea Kuzunguka Mji Mkuu wa Lusaka

Rais wa zamani Zambia Bw. Lungu hatarini kukamatwa

Mkuu wa Ulinzi Ukraine (Picha ya Website)

Zelensky amfukuza kazi mkuu wake wa ulinzi

Baadhi ya Wananchi wa Chindi na Ntinga wakiwa katika Harakati za Kuvuka Mto

Walazimika kulipa hadi 8000 kuvuka mto kwa mtumbwi

Mohamedi Mchengerwa, Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Wanaozuia watumishi kupanda vyeo wakaliwa kooni

Bujukano Mahungu John, Mwenyekiti wa Umoja wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili Tanzania

Waganga wa jadi waungana kukemea ukatili, Geita

Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Mvua zilizoambatana na upepo zimeua watu watano TZ

Muonekano wa Eneo la Somanga baada ya Mawasiliano kati ya Lindi na Dar es Salaam kurejeshwa.

Mawasiliano yarejeshwa barabara ya Dar - Lindi

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga

Kituo cha kupoza umeme kujengwa Tunduma