Monday , 16th May , 2022

Mkali wa mziki wa Singeli Dulla Makabila anasema yeye ndio msanii wa singeli aliyekaa kwa muda mrefu kwenye game tofauti na wasanii wengine wanaotamba kwa muda mfupi na kupotea.

Picha ya Dulla Makabila

Makabila amesema kazi yake kubwa ni kushindana kwa sababu wasanii wengi wa mziki wa singeli wanaingia ili kumshambulia.

"Mimi kazi yangu kushindana nao tu kwa sababu kila anayekuja ananishambulia, namsukumizia misumari anashindwa kujibu mapigo anapotea, ndio mziki ulivyo" amesema Dulla Makabila