Picha ya msanii Alikiba na Maua Sama
Kupitia ukarasa wa Twitter Maua Sama ameandika kwamba "Kwani ikitokea hujaimba Amapiano unaweza kufutiwa cheti cha usajili BASATA au utapokonywa NIDA & Passport?"
"Nipo zangu sehemu hapa nakunywa soda nasikiliza Zai, Utu & I wish (On Repeat) nipo Airport njooni mnipige"
Alikiba akacomment kwenye tweet hiyo kwa kuandika "Hakuna wa kukupiga Zai wangu".