Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Ukarabati soko la Kariakoo kuwa la Kimataifa

Sunday , 12th Sep , 2021

Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan leo Jumapili Septemba 12, 2021 atapokea taarifa juu ya maandalizi yanavyokwenda na juhudi mbalimbali katika kurekebisha soko la Kariakoo.

Soko la Kariakoo lilipoungua na moto

Msigwa ameyasema hayo leo Jumapili Septemba 12, 2021 jijini Dodoma wakati akitoa taarifa ya wiki, ambapo ameelza kuwa lengo la serikali ni kulifanya soko la Kariakoo kuwa la kimataifa kama masoko mengine duniani.

''Wiki hii kumekuwa na mjadala juu ya Soko la Kariakoo naomba kuwaambia kwamba maandalizi ya kulikarabati soko hilo yanaendelea, lengo la serikali ni kuhakikisha baada ya ajali ile ya moto, soko la Kariakoo lirudishwe katika sura ya soko la kimataifa,'' amesema Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali.

Ameongeza kuwa, ''lengo letu sasa ni kwamba soko la kariakoo litakaporudi liwe ni la kimataifa, soko ambalo linaendeshwa kama masoko mengine duniani, kama ni biashara saa 24 zifanyike mazingira yawe salama''.
 

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea