Saturday , 25th May , 2024

Elon Musk bilionea namba mbili duniani ambaye anasifika kwa kulala chini kwenye kiwanda chake ili kuhakikisha kazi yake inakamilika ndani ya siku husika,

Anaamini kuwa siku za usoni huenda kufanya  kazi ikawa ni kama kitu cha ziada tu kwenye maisha wa mwanadamu kwa sababu akili mnemba (A.I) atarahisisha kila kitu.

 

Musk pia amengeneza mfumo wake wa akili mnemba ambao unatumika kwenye kampuni yake ya uzalishaji wa magari ''Tesla'' ambao umekuwa msaada mkubwa sana kwenye kutatua changamoto na kusaidia sehemu ya uzalishaji ndani ya kampuni hiyo.
 

Picha: reportwire.org