Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Davido atuhumiwa kwa wizi

Tuesday , 11th May , 2021

Msanii wa Nigeria Davido anatuhumiwa kwa wizi wa wimbo ‘Jowo’ kutoka kwa mwimbaji Victor AD.

Picha ni Msanii Davido

Mtumiaji wa Twitter aliyejitambulisha kama “Thug Life” alimtuhumu Superstar huyo wa afrobeats kuwa mwaka 2020 aliiba kazi ya Victor AD baada ya Davido kusikia wimbo huo wakiwa studio wanarekodi wimbo wa Victor AD 'Tire You'  na baada ya hapo inadaiwa alimzumzuia (block)  kwenye mitandao yote ya kijamii.

Sio Davido wala Victor AD wametoka kuthibitisha taarifa hizi ambazo zinaendelea kasambaa kupitia mtandao wa Twitter

HABARI ZAIDI

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao