Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mwanasheria ashinda mamilioni ya Cheza Pesa

Wednesday , 27th Jan , 2021

Mwanasheria mkazi wa mkoani Arusha, Isikael Charles ameibuka mshindi wa Jackpot ya kila wiki ya Cheza Pesa inayotoa Milioni 15 kwa washindi.

Mwanasheria mkazi wa mkoani Arusha, Isikael Charles (kushoto)

Isikael miongoni mwa washindi watatu walioingia kwenye fainali ya Jackpot kubwa ameibuka na kitita cha Sh 10 Milioni.

"Sikutarajia kushinda kiasi hiki cha pesa, siamini kilichotokea tena mwanzo huu wa mwaka, pesa hii nitaiweka kwanza benki wakati nikijipanga namna ya kuitumia," alisema Isikael.

Katika droo hiyo, Vicent Jeremiah wa Same alishinda kitita cha Sh 1 milioni na Imani Adamson wa Morogoro aliibuka na kitita cha Sh 3 Milioni.

Kwa nyakati tofauti washindi hao walieleza namna walivyofurahia ushindi huo na kueleza kutumia pesa hizo kuboresha biashara zao.

Cheza Pesa imekuwa ikitoa washindi wa jackport ya kila siku ambao wamekuwa wakijishindia mamilioni kwa kucheza kwa Sh 500 hadi Sh 2000 tu.

"Wote wanaocheza na Cheza Pesa wanaingia kwenye Jackpot kubwa ya kila wiki inayotoa Sh 15 Milioni, ambayo mshindi wa kwanza anaondoka na Sh 10 Milioni, wa pili Milioni 3 na mshindi mwingine Sh 1 milioni," alisema Balozi wa Cheza Pesa, Najma Paul.

Alisema katika Jackpot ya wiki kuna washindi 10 wanaopata bonusi ya Sh 100,000 kila mmoja.

"Ni rahisi kucheza na kushinda, unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye menyu ya malipo na kwenda kwenye lipa bili kisha weka namba ya kampuni ambayo ni 551551 kisha unaingiza namba zako tano za bahati alafu unaweka kiasi ambacho ni kuanzia Sh 500 hadi 2000 ili kushinda hadi milioni 30,000,000/= kwenye droo ya kila dakika 2,".

Alisema washiriki wote katika droo hiyo wanaingia kwenye Jackpot kubwa ya kila Jumapili ambayo inatoa mshindi wa milioni 10, milioni 3, milioni 1 na washindi 10 wa bonusi ya Sh 100,000 kila mmoja. Jackpot hiyo inaruka kupitia ITV na EATV kila jumapili saa tatu na nusu usiku.

"Cheza pesa, shinda pesa, hii ndiyo kauli mbiu ya jackport hii, ni rahisi kucheza na kushinda, tukifanya bahati nasibu hii chini ya mwamvuli wa Bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania," alisema.
 

HABARI ZAIDI

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao