Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Bei ya maua ya asili yapaa juu

Wednesday , 23rd Sep , 2020

Kutokana na kuadimika kwa biashara ya maua nchini, wadau na wafanyabiashara wa maua jijini Dar es salaam, wameiomba serikali kuhakikisha inasimamia kuanza upya kwa mashamba makubwa ya maua yaliyopo jijini Arusha ambayo kwa sasa hayafanyi uzalishaji.

Maua

"Kiukweli niiombe serikali yangu wayatizame upya yale mashamba ya maua ambayo hayafanyi uzalishaji  hasa kule Arusha na Njombe wawape wawekezaji wenye uwezo wa kuyafufua ili hili soko ambalo leo tunayumba halitakuwepo tena", amesema Angel Rwiza, mfanyabiashara wa maua Namanga Mbuyuni.

Biashara hii ya maua ya asili inadaiwa kushuka zaidi mara baada ya Covid -19 kuathiri zaidi mataifa ya jirani ambayo pia yalikuwa yakiingiza maua hapa nchini mara baada ya kushuka kwa uzalishaji hasa katika mashamba ya ndani.

Aidha biashara hiyo pia imewanufaisha baadhi ya wajasiriamali kwa zaidi ya miaka kadhaa huku wakitoa wito kwa kwa kina mama wengine kujiajiri katika biashara hiyo.

"Nina takribani miaka mitatu kwenye biashara hii ya maua sasa inapotokea Hali Kama hii kwa kweli Hali inatuwia vigumu Sana kwa Sasa kuendesha maisha", Asma Abdallah, mfanyabiashara wa Maua.

Wafanyabiashara wa maua kwa sasa wanatarajia kuwepo kwa mabadiliko mara baada ya kufunguliwa kwa mipaka hasa  kutoka nchi jirani ya Kenya

HABARI ZAIDI

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao