Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Bibi wa miaka 65 aolewa na mwanaye wa miaka 24

Tuesday , 16th Jun , 2020

Bibi wa miaka 65 aliyetambulika kwa jina la Mbah Gambreng amekubali kufunga ndoa na mwanaye wa kumnunua au kufikia aitwaye Ardi Waras mwenye miaka 24 huko Kusini mwa Sumatra nchini Indonesia.

Wanandoa Mbah Gambreng (65) na mumewe Ardi Waras (24)

Bibi huyo amesema walikuwa wanaishi pamoja tangu mwaka jana kipindi alipokuwa mtoto wake wa kiume, na hadi sasa ameamua kuolewa naye baada ya kuingia kwenye mahusinao, na hakutegemea kama angeweza kuchumbiwa na kufunga naye ndoa.

Aidha mzee huyo ambaye anamiliki watoto wengine watatu wa kike wa kufikia na kuwanunua ameongeza kusema, alipata mshangao baada ya kuambiwa anataka kuolewa na mtoto wake huyo.

Mtoto wake huyo ambaye amemuoa anadaiwa alilipa mahari ya Rupia 100,000 kwa pesa ya Indonesia sawa na Tsh 16,396, pia wanandoa hao walishea picha zao kwenye mitandao ya kijamii huku wakiwa wameshikana mikono na kila mmoja akifurahia kampani ya mwenzake.

Uwepo wa umri kati ya mzee huyo na mwanaye haimaanishi kama ndiyo ndoa ambayo wamezidiana kwa umri mrefu, kwani mnamo mwezi Februari  mzee wa miaka 100 alimuoa binti wa miaka 20 na kupishana tofauti ya miaka 80 hukohuko nchini Indonesia.

HABARI ZAIDI

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton