Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Brigedia Jenerali Nicodemas Mwangela.
Hayo ameyabainisha leo Disemba 25, 2019, wakati akitoa zawadi mbalimbali za sikukuu ya krismasi, zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni moja kwa watoto yatima na wafungwa mkoani humo.
Kwa upande wake Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbozi, Tusubileghe Benjamin, amesema kuwa jamii inapaswa kuwa na huruma kwa watoto ili kuwanusuru watoto wachanga wanaotupwa

