Friday , 8th Aug , 2014

Msanii wa muziki Meninah Atick, maarufu zaidi kama Meninah La Diva ameamua kujiweka kando na masuala mazima ya mahusiano, ili kutoa muda zaidi wa kujihusisha na shughuli zake za sanaa.

msanii wa muziki nchini Tanzania Meninah La Diva

Meninah ambaye urembo wake umekuwa ukiwachengua wengi, amekiri kupata usumbufu mwingi, hasa kutokana na nafasi yake kama mtu maarufu.