Sehemu maalum kwa ajili ya Red Carpet kwa VVIP
Haya ni baadhi ya maeneo mbalimbali kuzunguka ukimbi huo, yanayoonesha kila mtu kujipanga na kila kitu kuwa pahala pake.
Kikosi cha kazi kutoka EATV kikijiweka tayari
Je, kwa matayarisho haya, unataka nini cha zaidi?