
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo akitoa maelekezo kwa Mamlaka za udhibiti zilizopo maeneo ya mipaka mbalimbali nchini alipokutana na wanahabari jijini Dodoma Septemba 22, 2023.

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulika na Sera, Bunge na Uratibu Dkt, Jim Yonazi akizungumza na Mhandisi wa TANESCO, Richard Kafura Wakati akikagua mfumo wa ujenzi wa miundo mbinu ya Umeme katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Utalii, Xiana Mendez akiwa na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba

Picha ya Mohbad na kufukuliwa kwa mwili wake

Picha ya Ramadhan Brothers ndani ya Americas Got Talent