Alhamisi , 21st Sep , 2023

Wanasarakasi kutoka Tanzania Ramadhani Brothers wamefanikiwa kutinga Fainali ya America's Got Talent 2023 baada ya kupigiwa kura za kutosha kwenye tovuti mbalimbali za America got talent.

Picha ya Ramadhan Brothers ndani ya Americas Got Talent

Fainali hiyo itafanyika wiki ijayo ambapo kupitia page yao Instagram wameshea ujumbe huu kuelekea fainali hiyo. 

"Tunapenda kuwashukuru wote waliopiga kura tumefanikiwa pamoja na tuko tayari kushinda hii".