Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Simba na Azam katika fainali ya kihistoria

Saturday , 10th Dec , 2016

Timu za Simba SC na Azam FC zimefanikiwa kuingia katika hatua ya Fainali ya Michuano ya Vijana wenye umri chini ya miaka 20 zinazotarajiwa kuchezwa hapo kesho katika Uwanja wa Chamazi jijini Dar es salaam

Vijana wa Azam wakishangilia ushindi wa jana

Simba SC na Azam FC zote zimeingia katika hatua ya fainali kwa mikwaju ya penati hapo jana Uwanja wa Chamazi jijini Dar es salaam.

Timu ya Simba imefanikiwa kuingia fainali baada ya kuitoa kwa penalti 8-7 Stand United ya Shinyanga ambapo katika mikwaju tisa, Simba walipoteza mmoja na Stand wakapoteza miwili baada ya dakika 120 za timu hizo kufungana bao 1-1.

Awali, Simba ndiyo waliotangulia kupata bao lililofungwa na Hussein Hamisi dakika ya 19 kwa shuti kali baada ya pasi ya Rashid Juma, kabla ya Stand kusawazisha kupitia kwa Adam Salamba dakika ya 53 kwa mkwaju wa penalti baada ya beki wa Simba kuunawa mpira kwenye boksi.

Kwa upande wa Azam FC, imetinga fainali baada ya kuichapa Mtibwa Sugar kwa mikwaju ya penati 4-2 kwenye mchezo wa nusu fainali, kufuatia sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90 na 30 za nyongeza.

HABARI ZAIDI

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao