Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kombe la Yanga kutua Bungeni

Tuesday , 23rd May , 2017

Katibu mkuu wa Mabingwa Ligi Kuu Tanzania Bara Young Africans, Charles Boniface Mkwasa ameweka wazi mipango yao kuwa kusema wanatarajia kupeleka kombe lao bungeni kwa lengo la kuwapa fursa wabunge pamoja na wanachama wake kuliona.

Katibu mkuu Yanga, Charles Boniface Mkwasa

Mkwasa amebainisha hayo katika taarifa aliyoitoa leo kwa kusema  walipanga kucheza mechi moja katika uwanja wa Jamhuri uliopo Dodoma, lakini imeshindikana hivyo wataamishia mchezo huo katika jiji la Arusha.

"Tumeweka mipango yetu vizuri tutalipeleka kombe letu Dodoma ili wanachama wetu na wabunge wenye mapenzi na Yanga SC walione kombe letu ambalo tumelichukua mara tatu mfululizo. Tulipanga kucheza mechi moja Dodoma lakini uwanja umefungwa hivyo tutawaonesha na kuondoka kuelekea jijini Arusha....Ukiachilia mbali mikoa hiyo miwili msafara wa Yanga utajitahidi popote unapokatisha kusimama kidogo kuwaonesha wanachama wake kombe lao ili kufurahia juhudi na kazi". Alisema Mkwasa

Yanga inatarajia kucheza mchezo huo wa kirafiki mwishoni mwa juma hili.

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea