Monday , 6th Jul , 2015

Msanii Witnesz the Fitness aka Kibonge mwepesi hivi sasa anazidi kupiga hatua katika kuachia kazi mpya ambayo mashabiki wengi walikuwa wanaisubiria iliyobatizwa jina 'Buku Jero' wimbo ambao hivi sasa tayari umeachiwa rasmi mitandaoni.

Msanii wa miondoko ya bongo fleva nchini Witnesz aka 'Kibonge Mwepesi'

Witnesz ameongea na eNewz kuhusiana kuhusiana na project hiyo kubwa ambayo hivi sasa tayari amefanya maandalizi makubwa ya kuachia kichupa cha kibao hicho kipya ambacho atawashirikisha mashabiki wake wote wanaomsapoti staa huyo.

Witnesz ambaye hivi sasa ameamua kujiongezea jina jipya akijiita Witnesz aka Kibonge Mwepesi ameiambia eNewz kuwa hili ni jina ambalo amepatiwa na watu wake haswa mashabiki kila atokapo stejini kutumbuiza watu hushangazwa na umbile