Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Weusi ni ubunifu wangu - Nisher

Saturday , 27th May , 2017

Muongozaji wa video za muziki wa bongo, Nisher amefunguka kufafanua kwa nini amekuwa akitumia rangi nyeusi katika kazi zake na kudai ni ubunifu wa kujitofautisha na watu wengine wengi wanaofanya kazi hiyo.

Muongozaji wa video, Nisher

Nisher amefunguka hayo baada ya maswali mengi mtaani kuzagaa kwa kipindi kirefu  kwa nini anatumia rangi nyeusi, kwa kudai kwamba video ni kama nguo ikivaliwa leo kesho itapumzishwa hivyo yeye kuweka rangi nyeusi ni kubadilisha mionekano ya rangi za video kama ilivyokuwa imezoeleka hapo awali.

Picha ya  wimbo wa weusi 'Gere' aliouongoza Nisher.

Aidha Nisher amefafanua na kusema kwamba  elimu ya uongozaji wa videoi aliyoipata nchini Marekani inamsaidia sana katika kufanya kazi zake kitaalamu jambo ambalo lilimfanya wasanii wengi kumkimbilia tangu alipojiingiza kwenye tansnia ya muziki.

"Kutumia elimu kwenye tasnia ya video ni nzur kwa sababu inakufanya uwe smart kuanzia kwenye makubaliano ya kazi mpaka ufanyaji wake. Siyo mbaya mtu kutumia kipaji chako cha mtaani lakini ukichanganya na suala la emu lazima mtu atakuwa anakeheshimu jinsi ambavyo unaifanya kazi yako" - Nisher aliongeza.

Akizungumzia kuhusu wimbi la waongozaji video kuongezeka kila Siku Nisher amesema "Ma- directors wanavyoongezeka kila siku ni tafsiri ya kuwa industry yetu imekua, suala la kusema huyu hajui siyo tatizo kwa kuwa hata mtoto anapokuwa anakua kuna mambo anakuwa anakosea mpaka anakuwa mtu mzima. Hivyo ma director wachanga nao wakikosea siyo dhambi kwani na wao wanahitaji muda wa  kujifunza zaidi".

HABARI ZAIDI

Rose Senyagwa, Mchambuzi wa Masuala ya Hali ya Hewa kutoka TMA

Kimbunga "IALY" kinazidi kusogea Pwani ya bahari

Picha ya Diddy na Cassie enzi za mahusiano yake

Diddy aomba msamaha kumshambulia EX wake Cassie

Rais wa Iran Ebrahim Raisi

Rais wa Iran afariki kwa ajali ya Helikopta

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba,

China yaahidi kuendelea kufadhili miradi Tanzania

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu