Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Navy Kenzo 'wamteka' Ditto

Wednesday , 18th Jan , 2017

Msanii wa bongo fleva Ditto amesema anajipanga kurudi na mfumo wa  kuachia albam ya nyimbo zake mwishoni mwa mwaka huu japo haijazoeleka kwa wasanii wa Tanzania.

Ditto

Uamuzi huo wa kutoa albam unamfanya awe ameungana na wazo la kundi la muziki huo la Navy Kenzo ambao pia mwishoni mwa mwaka jana walitangaza kuja na albam ya ngoma zao inayokwenda kwa jina la AIM hivyo inawezakana Ditto akawa ametekwa kimawazo na 'idea' hiyo ya albam kutoka kwa Navy Kenzo.

Akiongea kupitia eNewz Ditto amesema kwa sasa anaendelea kurekodi nyimbo nyingi ili hapo baadaye aweze kuchagua ni zipi ambazo zinafaa kukaa kwenye albam yake ingawa kwa sasa ataachia nyimbo mbalimbali ili kuweza kurudisha mashabiki zake na kurudisha hadhi yake ya zamani.

Pia Ditto amesema kwa sasa anajipanga kutengeneza utamaduni wake na akifanikiwa kwa hilo atajiingiza kwenye biashara za kuachia albam mbalimbali na pia amewashukuru mashabiki kwa kuupokea vyema wimbo wake wa moyo sukuma damu.

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea