Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Nasumbuliwa sana kisa wowowo" - Zaiid

Thursday , 23rd Nov , 2017

Bila shaka wimbo wa Zaiid 'wowowo' umeanza kushika kasi na kupendwa na watu wengi mpaka kufikia hatua ya usumbufu kuongezeka kwa msanii huyo baada ya mashabiki wengi na marafiki zake kuomba namba wakihitaji mawowowo yaliyomo kwenye wimbo wa 'wowowo'

"watu wamekuwa wakinisumbua sana katika mitandao ya kijamii na kwenye simu wakiniulizia namba za wale mabinti ambao wamecheza katika wimbo wa wowowo wakiwataka kimapenzi , ila mimi huwa nawaambia kuwa watu hao sina namba zao kwa sababu Riyama Ally yule msanii wa bongo movie ndio aliniunganisha nao" , alisema Zaiid

Zaiid ni moja kati ya wasanii ambao wanafanya vizuri kwa sasa kutokana na staili yake ya uimbaji  

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea