Kuanzia kushoto ni Fahyma, Ibraah na H Baba
Wakili, Muanzilishi na Mkurugenzi wa Utu Kwanza Shehzad Walli (Kushoto)
Chris Paul akijaribu kuutupia mpira kwenye kikapu na kumuacha Khris Middleton wa Milwaukee Bucks akiwa hana cha kufanya kwenye moja ya mchezo wa fainali ya NBA msimu huu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu
Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Elias John Kwandikwa enzi za uhai wake
Luka Doncic wa klabu ya Dallas Mavericks inayoshiriki NBA nchini Marekani na timu ya taifa ya Slovenia.
Kushoto ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwa na Rais wa Rwanda Paul Kagame
Msanii Ruby kushoto, Mose Iyobo kulia
Kwenye picha kuanzia kushoto ni Jay Melody, Alikiba na Rayvanny
