Picha ya msanii Amber Lulu na Jux
Kupitia 'Insta Story' yake Amber Lulu amejibu kwamba bado ana mpango wa kuongeza watoto wengine watatu, pia anatamani kupata mtoto na Jux kwa sababu anampenda, ana heshimu wanawake, ana tabia nzuri na upendo.
Tayari msanii huyo ana mtoto mmoja na mzazi mwenza Ember Bosion japo wamegombana kwa sasa na amewahi kuwa na uhusinao na msanii Prezoo kutoka Kenya na Young Dee.



