Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Linah asafishwa kashfa na mpenzi wake

Saturday , 21st Oct , 2017

Mzazi mwenzake na Msanii wa bongofleva, Linah Sanga, amekanusha madai ya mpenzi wake huyo kumbana kiasi cha kukosa fursa ya kumuhudumia mwanae aliyempata na mwanamke mwingine na kusema "Linah ni mwanamke mwenye kipaumbele kwa mwanae kuliko alihisi.

Akifunguka EATV kwenye kipindi cha Friday Night Live, Shaban Mchovu (mwanaume aliyezaa na Linah) amesema kwa,mba pamoja na umaarufu alionao mzazi mwenzake hajawi kuvimba au kupotezea suala la yeye kumuhudumia mtoto wake na amemsifu kwamba mara zote amekuwa akimkumbussha na kumsisitiza kufanya hivyo na sivyo kama maneno ya watu wengine yanavyosema.

"Linah ni mwanamke ambaye anachukulia vitu serious na siyo poa kama watu wanavyomuona kwa nje. Anachukulia kipaumbele sana kwa mwanangu, sijui kama anafanya hivyo nione kama anajali sana lakini wakati mwingine unaona ana moyo haswa wa kufanya hivyo. Sijutii kuwa na Linah na enjoy sana"

Akizungumza kuhusu Linah kuvunja mahusiano na mama mtoto wake wa kwanza ambaye tayari alishamvalisha pete ya uchumba, Bw. Mchomvu amekanusha na kusema kwamba Linah hakuhusika na kuvunja mahusiano yake bali ni yeye na mpenzi wake wa awali walishindwa kutatua matatizo yao.

"Chenye mwanzo huwa na mwisho. Matatizo yalitokea tukashindwa kuyatatua sisi wenyewe mwisho wa siku ikawa ni kama mkataba umeharibika. Na kuhusu kwamba uhusiano na mpenzi wangu huyo wa zamani ulisababisha afya yake kuzorota kama jinsi watu wanavyosema mimi sina taarifa hizo nachojua yupo vizuri na mimi na familia yangu mpya tupo safi"

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea