Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Ujumbe wa Makamba kwa CCM na JPM

Monday , 18th Dec , 2017

Katibu Mkuu wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba amesema sifa za pekee ziwaendee waasisi wa Taifa, Julius Nyerere na Abeid Amani Karume kwa kulitetea taifa hadi kufika leo.

Makamba amepata nafasi ya kuongea hayo kwenye mkutano mkuu wa tisa wa Chama cha Mapinduzi mara baada ya Mwenyekiti wa muda Benjamin William Mkapa kumpa nafasi ya kuwasalimia wajumbe na wageni waliohudhuria mkutano huo.

''Tunajipongeza sisi tunasahau waliotengeneza nchi, waasisi Julius Nyerere na Abeid Karume,'' amesema. Akiongea kuhusu utendaji kazi wa Rais Magufuli amesema kwamba anampongeza kwa kufanya mambo kwa kutoogopa  kitu chochote na anafanya kazi kwa weledi.

"Siku moja nilitabiri kuwa Kikwete ana batiza kwa maji, lakini JPM anabatiza kwa moto na sasa yanatimia kupitia matokeo mazuri ya viti vya Udiwani katika uchaguzi mdogo ambayo ni matokeo ya utendaji kazi mzuri wa serikali ya awamu ya tano chini ya CCM”, ameongeza.

Katika hotuba yake ambayo imechukua dakika 13 amewatahadharisha wapinzani kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 haitokuwa rahisi kwao kwani Chama Cha Mapinduzi kimejipanga vizuri kuweza kushinda tena.

HABARI ZAIDI

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya