Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Serikali imepiga marufuku utoaji wa fedha

Wednesday , 22nd Nov , 2017

Serikali imepiga marufuku utoaji wa fedha kwa wakandarasi ambao hawajaonyesha tafiti za uhalisia wa eneo wanalokwenda kufanyia kazi ili kuepuka gharama na hasara na ziada ya fedha zinazoweza kujitokeza wakati wa utekelezaji wa mradi husika.

Kauli hiyo ya serikali imetolewa na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mheshimiwa Juma Aweso mara baada  ya kukutana na viongozi, wafanyakazi pamoja na wanafunzi wa chuo cha maji nakusema  serikali imejiwekea mipango mikubwa ya kumaliza tatizo la maji ikiwa ni pamoja na kusimamia wataalamu wake wanafanya kazi kwa uweledi na kutatua tatizo la maji ambalo limekua sugu kwa miaka mingi.

Kwa upande wake mkuu wa chuo hicho Dkt.Shija Kazumba ameiomba serikali kuboresha miundombinu wanayoitumia ili kuendana na kasi ya dunia

HABARI ZAIDI

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya