
Naibu waziri wa ardhi na maendeleo ya makazi nchini Tanzania mheshimiwa George Simbachawene
Waziri Simbachawene alitoa kauli hiyo wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wakulima iliyoandaliwa na mtandao wa kitaifa wa makundi ya wakulima nchini Tanzania (Mviwata) mkoani Morogoro.
Waziri Simbachawene amesema kuwa nchi hii ina eneo kubwa sana la ardhi ambalo linaweza kuwanufaisha wakulima.