Kimbweta
Mwanafunzi kutoka Juhudi Sec. School akielezea sababu ambazo zinampelekea mwanafunzi kutumia mihadarati, kucheza kamali n.k
Q and A
Kama alianza kutetemeka hivi lakini akapatia, ni kweli lugha ni sauti za nasibu zilizokubalika na jamii na zenye mfumo ili ziweze kutumika katika jamii.
TOKELEZEA
Wanafunzi wa shule ya Sekondari Juhudi waki 'Tokelezeaa'