Ujenzi

Born : February 09.
Napenda kuangalia TV, kusoma magazeti. Najiamini kuwa ni mtangazaji mzuri. Napenda kusikiliza maoni ya watu mbalimbali na kuyafanyia kazi inapobidi. Hapo baadaye natarajia kuwa mtangazaji na mtayarishaji wa vipindi kimataifa.