Kaburi la aliyekuwa Waziri Mkuu na Mbunge wa Monduli Hayati Edward Moringe Sokoine.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ameongoza jopo la viongozi wakiwemo marais wastaafu katika maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 30 kifo cha aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine.